Students Clubs Activities
Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA CCC) limeunda Vilabu vya wanafunzi kwa madhumini ya kusaidia kwenye shughuli za uelimishaji rika katika mnaeneo vilivyopo.
Vilabu vya wanafunzi vinafanya uelimishaji kwa mbinu mbalimbali kama vile: -
- Ngoma
- Nyimbo
- Ngonjera
- Mashairi na
- Maigizo