News
World Consumer Rights Day 2023
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA CCC), Bi. Stella Lupimo akielimisha wadau wakati wa maadhimisho ya Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani Machi 14, 2023 ambapo Kitaifa yalifanyika jijiini Mwanza.